Mdo 7:36 SUV

36 Huyo ndiye aliyewatoa, akifanya ajabu na ishara katika nchi ya Misri, na katika bahari ya Shamu, na katika jangwa muda wa miaka arobaini.

Kusoma sura kamili Mdo 7

Mtazamo Mdo 7:36 katika mazingira