Mdo 7:35 SUV

35 Musa huyo waliyemkataa, wakisema, Ni nani aliyekuweka kuwa mkuu na mwamuzi? Ndiye aliyetumwa na Mungu kuwa mkuu na mkombozi, kwa mkono wa yule malaika aliyemtokea katika kile kijiti.

Kusoma sura kamili Mdo 7

Mtazamo Mdo 7:35 katika mazingira