Mdo 7:38 SUV

38 Yeye ndiye aliyekuwa katika kanisa jangwani pamoja na yule malaika aliyesema naye katika mlima wa Sinai, tena pamoja na baba zetu; ndiye aliyepokea maneno ya uzima atupe sisi.

Kusoma sura kamili Mdo 7

Mtazamo Mdo 7:38 katika mazingira