Mk. 1:13 SUV

13 Akawako huko jangwani siku arobaini, hali akijaribiwa na Shetani; naye alikuwa pamoja na wanyama wa mwitu, na malaika walikuwa wakimhudumia.

Kusoma sura kamili Mk. 1

Mtazamo Mk. 1:13 katika mazingira