7 Akahubiri akisema, Yuaja nyuma yangu aliye na nguvu kuliko mimi, ambaye mimi sistahili kuinama na kuilegeza gidamu ya viatu vyake.
Kusoma sura kamili Mk. 1
Mtazamo Mk. 1:7 katika mazingira