Mk. 10:1 SUV

1 Akaondoka huko akafika mipakani mwa Uyahudi, na ng’ambo ya Yordani; makutano mengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea.

Kusoma sura kamili Mk. 10

Mtazamo Mk. 10:1 katika mazingira