Mk. 10:17 SUV

17 Hata alipokuwa akitoka kwenda njiani, mtu mmoja akaja mbio, akampigia magoti, akamwuliza, Mwalimu mwema, nifanye nini nipate kuurithi uzima wa milele?

Kusoma sura kamili Mk. 10

Mtazamo Mk. 10:17 katika mazingira