Mk. 10:23 SUV

23 Yesu akatazama kotekote, akawaambia wanafunzi wake, Jinsi itakavyokuwa shida wenye mali kuingia katika ufalme wa Mungu!

Kusoma sura kamili Mk. 10

Mtazamo Mk. 10:23 katika mazingira