Mk. 10:32 SUV

32 Nao walikuwako njiani, huku wakipanda kwenda Yerusalemu; na Yesu alikuwa akiwatangulia, wakashangaa, nao katika kufuata wakaogopa. Akawatwaa tena wale Thenashara, akaanza kuwaambia habari za mambo yatakayompata,

Kusoma sura kamili Mk. 10

Mtazamo Mk. 10:32 katika mazingira