Mk. 10:46 SUV

46 Wakafika Yeriko; hata alipokuwa akishika njia kutoka Yeriko, pamoja na wanafunzi wake, na mkutano mkubwa, mwana wa Timayo, Bartimayo, yule mwombaji kipofu, alikuwa ameketi kando ya njia.

Kusoma sura kamili Mk. 10

Mtazamo Mk. 10:46 katika mazingira