Mk. 11:15 SUV

15 Wakafika Yerusalemu, naye akaingia ndani ya hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza na kununua ndani ya hekalu, akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao wauzao njiwa;

Kusoma sura kamili Mk. 11

Mtazamo Mk. 11:15 katika mazingira