Mk. 11:23 SUV

23 Amin, nawaambia, Ye yote atakayeuambia mlima huu, Ng’oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake.

Kusoma sura kamili Mk. 11

Mtazamo Mk. 11:23 katika mazingira