Mk. 11:32 SUV

32 Ila tukisema, Ulitoka kwa wanadamu, – waliogopa watu; maana watu wote walimwona Yohana kuwa nabii halisi.

Kusoma sura kamili Mk. 11

Mtazamo Mk. 11:32 katika mazingira