Mk. 12:1 SUV

1 Akaanza kusema nao kwa mifano; Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akazungusha ugo, akachimba shimo la shinikizo, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.

Kusoma sura kamili Mk. 12

Mtazamo Mk. 12:1 katika mazingira