Mk. 12:17 SUV

17 Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana.

Kusoma sura kamili Mk. 12

Mtazamo Mk. 12:17 katika mazingira