Mk. 12:19 SUV

19 Mwalimu, Musa alituandikia ya kwamba ndugu ya mtu akifa, akamwacha mkewe wala hana mtoto, ndugu yake amtwae yule mkewe akampatie ndugu yake mzao.

Kusoma sura kamili Mk. 12

Mtazamo Mk. 12:19 katika mazingira