Mk. 12:28 SUV

28 Na mmojawapo wa waandishi akafika, akawasikia wakisemezana naye, akatambua ya kuwa amewajibu vema, akamwuliza, Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza?

Kusoma sura kamili Mk. 12

Mtazamo Mk. 12:28 katika mazingira