Mk. 12:34 SUV

34 Naye Yesu, alipoona kwamba amejibu kwa busara, alimwambia, Wewe hu mbali na ufalme wa Mungu. Wala hakuthubutu mtu kumsaili neno tena tokea hapo.

Kusoma sura kamili Mk. 12

Mtazamo Mk. 12:34 katika mazingira