Mk. 12:44 SUV

44 maana hao wote walitia baadhi ya mali iliyowazidi; bali huyu katika umaskini wake ametia vyote alivyokuwa navyo, ndiyo riziki yake yote pia.

Kusoma sura kamili Mk. 12

Mtazamo Mk. 12:44 katika mazingira