Mk. 14:18 SUV

18 Nao walipokuwa wameketi chakulani, wakila, Yesu alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu, naye anakula pamoja nami, atanisaliti.

Kusoma sura kamili Mk. 14

Mtazamo Mk. 14:18 katika mazingira