Mk. 14:21 SUV

21 Kwa maana Mwana wa Adamu aenda zake kama alivyoandikiwa; lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu; ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa.

Kusoma sura kamili Mk. 14

Mtazamo Mk. 14:21 katika mazingira