Mk. 14:25 SUV

25 Amin, nawaambia ninyi, Sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hata siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu.

Kusoma sura kamili Mk. 14

Mtazamo Mk. 14:25 katika mazingira