Mk. 14:3 SUV

3 Naye alipokuwapo Bethania, nyumbani mwa Simoni mkoma, ameketi chakulani, alikuja mwanamke mwenye kibweta cha marhamu ya nardo safi ya thamani nyingi; akakivunja kibweta akaimimina kichwani pake.

Kusoma sura kamili Mk. 14

Mtazamo Mk. 14:3 katika mazingira