Mk. 14:43 SUV

43 Basi alipokuwa katika kusema, mara Yuda alifika, mmoja wa wale Thenashara, na pamoja naye mkutano, wana panga na marungu, wametoka kwa wakuu wa makuhani, na waandishi, na wazee.

Kusoma sura kamili Mk. 14

Mtazamo Mk. 14:43 katika mazingira