Mk. 15:15 SUV

15 Pilato akipenda kuwaridhisha makutano, akawafungulia Baraba; akamtoa Yesu, baada ya kumpiga mijeledi, ili asulibiwe.

Kusoma sura kamili Mk. 15

Mtazamo Mk. 15:15 katika mazingira