Mk. 15:21 SUV

21 Wakamshurutisha mtu aliyekuwa akipita, akitoka mashamba, Simoni Mkirene, baba yao Iskanda na Rufo, ili auchukue msalaba wake.

Kusoma sura kamili Mk. 15

Mtazamo Mk. 15:21 katika mazingira