Mk. 15:29 SUV

29 Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisa-tikisa vichwa, wakisema, Ahaa! Wewe mwenye kulivunja hekalu na kulijenga katika siku tatu,

Kusoma sura kamili Mk. 15

Mtazamo Mk. 15:29 katika mazingira