36 Na mmoja akaenda mbio, akajaza sifongo siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha, akisema, Acheni, na tuone kwamba Eliya anakuja kumtelemsha.
Kusoma sura kamili Mk. 15
Mtazamo Mk. 15:36 katika mazingira