39 Basi yule akida, aliyesimama hapo akimwelekea, alipoona ya kuwa alikata roho jinsi hii, akasema, Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Kusoma sura kamili Mk. 15
Mtazamo Mk. 15:39 katika mazingira