Mk. 15:43 SUV

43 akaenda Yusufu, mtu wa Arimathaya, mstahiki, mtu wa baraza ya mashauri, naye mwenyewe anautazamia ufalme wa Mungu; akafanya ujasiri, akaingia mbele ya Pilato akauomba mwili wake Yesu.

Kusoma sura kamili Mk. 15

Mtazamo Mk. 15:43 katika mazingira