Mk. 16:14 SUV

14 Baadaye akaonekana na wale kumi na mmoja walipokuwa wakila, akawakemea kwa kutokuamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki wale waliomwona alipofufuka katika wafu.

Kusoma sura kamili Mk. 16

Mtazamo Mk. 16:14 katika mazingira