Mk. 2:16 SUV

16 Na waandishi na Mafarisayo walipomwona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

Kusoma sura kamili Mk. 2

Mtazamo Mk. 2:16 katika mazingira