Mk. 2:19 SUV

19 Yesu akawaambia, Walioalikwa arusini wawezaje kufunga maadamu bwana-arusi yupo pamoja nao? Muda wote walipo na bwana-arusi pamoja nao hawawezi kufunga.

Kusoma sura kamili Mk. 2

Mtazamo Mk. 2:19 katika mazingira