Mk. 2:4 SUV

4 Na walipokuwa hawawezi kumkaribia kwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakalitelemsha godoro alilolilalia yule mwenye kupooza.

Kusoma sura kamili Mk. 2

Mtazamo Mk. 2:4 katika mazingira