Mk. 3:27 SUV

27 Hawezi mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu, na kuviteka vitu vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu; ndipo atakapoiteka nyumba yake.

Kusoma sura kamili Mk. 3

Mtazamo Mk. 3:27 katika mazingira