Mk. 4:1 SUV

1 Akaanza kufundisha tena kando ya bahari. Wakamkusanyikia mkutano mkubwa mno, hata yeye akapanda chomboni, akakaa baharini, mkutano wote ulikuwako juu ya nchi kavu kando ya bahari.

Kusoma sura kamili Mk. 4

Mtazamo Mk. 4:1 katika mazingira