Mk. 4:15 SUV

15 Hawa ndio walio kando ya njia lipandwapo neno; nao, wakiisha kusikia, mara huja Shetani, akaliondoa lile neno lililopandwa mioyoni mwao.

Kusoma sura kamili Mk. 4

Mtazamo Mk. 4:15 katika mazingira