Mk. 4:20 SUV

20 Na hawa ndio waliopandwa penye udongo ulio mzuri; ni watu walisikiao lile neno na kulipokea, na kuzaa matunda, mmoja thelathini, mmoja sitini, na mmoja mia.

Kusoma sura kamili Mk. 4

Mtazamo Mk. 4:20 katika mazingira