Mk. 5:13 SUV

13 Akawapa ruhusa. Wale pepo wachafu wakatoka, wakaingia katika wale nguruwe; nalo kundi lote likatelemka kwa kasi gengeni, wakaingia baharini, wapata elfu mbili; wakafa baharini.

Kusoma sura kamili Mk. 5

Mtazamo Mk. 5:13 katika mazingira