Mk. 5:19 SUV

19 lakini hakumruhusu, bali alimwambia, Enenda zako nyumbani kwako, kwa watu wa kwenu, kawahubiri ni mambo gani makuu aliyokutendea Bwana, na jinsi alivyokurehemu.

Kusoma sura kamili Mk. 5

Mtazamo Mk. 5:19 katika mazingira