Mk. 5:4 SUV

4 kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunja-vunja zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.

Kusoma sura kamili Mk. 5

Mtazamo Mk. 5:4 katika mazingira