Mk. 6:14 SUV

14 Naye Mfalme Herode akasikia habari; kwa maana jina lake lilikuwa kutangaa, akasema, Yohana Mbatizaji amefufuka katika wafu, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake.

Kusoma sura kamili Mk. 6

Mtazamo Mk. 6:14 katika mazingira