Mk. 6:17 SUV

17 Kwa maana Herode mwenyewe alikuwa ametuma watu, akamkamata Yohana, akamfunga gerezani, kwa ajili ya Herodia, mkewe Filipo ndugu yake, kwa kuwa amemwoa;

Kusoma sura kamili Mk. 6

Mtazamo Mk. 6:17 katika mazingira