Mk. 6:22 SUV

22 ndipo binti yake yule Herodia alipoingia, akacheza, akampendeza Herode na wale walioketi pamoja naye karamuni. Mfalme akamwambia yule kijana, Niombe lo lote utakalo, nitakupa.

Kusoma sura kamili Mk. 6

Mtazamo Mk. 6:22 katika mazingira