Mk. 6:41 SUV

41 Akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama mbinguni, akashukuru, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi wake wawaandikie; na wale samaki wawili akawagawia wote.

Kusoma sura kamili Mk. 6

Mtazamo Mk. 6:41 katika mazingira