Mk. 6:48 SUV

48 Akawaona wakitaabika kwa kuvuta makasia, kwa maana upepo ulikuwa wa mbisho; hata ilipopata kama zamu ya nne ya usiku akawaendea, akitembea juu ya bahari; akataka kuwapita.

Kusoma sura kamili Mk. 6

Mtazamo Mk. 6:48 katika mazingira