Mk. 6:5 SUV

5 Wala hakuweza kufanya mwujiza wo wote huko, isipokuwa aliweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache, akawaponya.

Kusoma sura kamili Mk. 6

Mtazamo Mk. 6:5 katika mazingira