Mk. 7:5 SUV

5 Basi wale Mafarisayo na waandishi wakamwuliza, Mbona wanafunzi wako hawaendi kwa kuyafuata mapokeo ya wazee, bali hula chakula kwa mikono najisi?

Kusoma sura kamili Mk. 7

Mtazamo Mk. 7:5 katika mazingira