Mk. 8:23 SUV

23 Akamshika mkono yule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akamwekea mikono yake, akamwuliza, Waona kitu?

Kusoma sura kamili Mk. 8

Mtazamo Mk. 8:23 katika mazingira