Mk. 8:38 SUV

38 Maana kila mtu atakayenionea haya mimi, na maneno yangu, katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu atamwonea haya mtu huyo, atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.

Kusoma sura kamili Mk. 8

Mtazamo Mk. 8:38 katika mazingira